Hakimu atoa siku saba Hanspoppe aondolewe kesi ya kina Aveva

Friday August 10 2018

 

By Tausi Ally

Dar es Salaam.  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa siku saba kwa upande wa mashtaka  kukamilisha mchakato wa kubadilisha hati