Search

887 results for Thobias Sebastian :

 1. Chama, Phiri wakosa mamilioni

  ACHANA na ahadi ya Sh 5 Milioni kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Saluhu Hassani kama wangefunga bao mbele ya Raja Casablanca, mastaa wa Simba wakiongozwa na Clatous...

 2. Mbrazil afichua siri, aigeukia Azam

  KIKOSI cha Simba juzi kilipoteza mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika mbele ya Raja Casablanca na kocha Roberto Oliveira 'Robertinho' akifichua kilichowaponza, lakini akawa moyo mashabiki kwamba kazi...

 3. Yanga: Kuna mwenye swali?

  WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye kombe la Shirikisho Afrika Yanga, imepata ushindi wa kwanza nyumbani Uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye mchezo dhidi ya TP Mazembe kutokea DR Congo. Yanga imepata...

 4. Vipigo vyazibeba Simba, Yanga Dar

  WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa Simba na Yanga walipoteza michezo ya kwanza ya hatua ya makundi ugenini. Simba iliyopo Ligi ya mabingwa Afrika ilifungwa bao 1-0, dhidi ya...

 5. Kwa mziki huu, mtaenda kuwaambia.. Robertinho afunga busta

  KOCHA Roberto Oliveira 'Robertinho' anajua ana dakika 90 ngumu mbele ya Raja Casablanca ya Morocco kwenye mechi ya Kundi C ya Ligi ya Mabingwa Afrika na fasta ameamua kuwafungia busta Waarabu ili...

 6. Simba wafanya sapraizi, Mbrazili afurahia

  WACHEZAJI wa Simba wamepania, baada ya kufanya sapraizi ya aina yake kiasi cha kumshangaza hadi kocha mkuu wa timu hiyo, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ aliyetamka kuwa hajawahi kuona kitu kama...

 7. Farid, Lomalisa waliipa uhai mpya Yanga

  WAWAKILISHI wa Tanzania Kombe la Shirikisho Afrika, Yanga juzi Jumapili walipoteza mechi ya kwanza ugenini hatua ya makundi dhidi ya US Monastir baada ya kufungwa mabao 2-0, Tunisia katika Uwanja...

 8. Saido apewa rungu kuiua Raja Dar

  KOCHA wa Simba, Roberto Oliveira 'Robertinho' amekiri Horoya ya Guinea iliwazidi akili kwenye mchezo wa juzi uliopigwa mjini Conakry, lakini akasema anapanga jeshi lake kwa mechi ijayo dhidi ya...

 9. Simba warejea Dar na hasira kali

  KIPIGO cha bao 1-0 ilichopewa Simba kutoka kwa Horoya ya Guinea, imewapa hasira mastaa wa timu hiyo na leo wanarejea nchini ili kuanza kuiwinda Raja Casablanca ya Morocco kwenye mchezo wa pili wa...

 10. Nabi, Robertinho wote ngoma nzito

  KAZI inaanza. Ni wikiendi ya burudani. Achana na huko Ulaya, Afrika sasa kinawaka na miamba ya soka Simba na Yanga inashuka uwanjani kupepetana kwenye hatua ya makundi ya michuano ya Afrika zote...

Page 1 of 89

Next