Search

67 results for SINDA MATIKO :

 1. Soka Kenya laachwa kwa mataa

  WAZIRI wa Michezo, Balozi Amina Mohammed ameendelea kusalia kimya kuhusu uongozi wa soka nchini baada ya muhula wa Kamati ya Mpito kufika mwisho na kumalizika kwa msimu.

 2. Matasi alibeba Tusker

  WAKATI bosi wa Kakamega Homeboyz akiendelea kudai kwamba alifanyiwa ile kitu, kipa wa Tusker FC Patrick Matasi zake ni sherehe tu.

 3. Bosi Homeboyz alilia ubingwa FKF

  WAKATI bosi wa Kakamega Homeboyz akiendelea kudai kwamba alifanyiwa ile kitu, kipa wa Tusker FC Patrick Matasi zake ni sherehe tu.

 4. Kipa bora wa msimu Matasi awaruka Police

  NAIBU nahodha wa Tusker, Patrick Matasi aliyetawazwa kipa bora 2021/22 amekana ripoti zinazomhusisha na kuhamia kwa makarao. Matasi aliyejiunga na Tusker msimu huu, amekuwa katika fomu nzuri...

 5. Mabingwa Tusker FC kujengwa Ksh2 milioni

  KABLA yake kutimuliwa uongozini kimabavu, Rais wa zamani wa Shirikisho la soka nchini FKF, Nick Mwendwa alikuwa ametoa ahadi ya kumzawadia bingwa wa ligi kuu msimu huu 2021/22 Ksh5 milioni. Hii...

 6. Wanyama anaihata Harambee Stars

  NAHODHA wa zamani wa Harambee Stars, Victor Mugubi Wanyama anatamani tena kurejea kwenye kikosi hicho licha ya kutangaza kustaafu kimataifa. Kulingana naye mwenyekiti wa zamani wa FKF tawi la...

 7. Masaibu ya Kakamega Homeboyz, Mwalala abadilisha Kiswahili

  WANASEMA mbaazi ishindwapo kuzaa, husingizia jua. Ndicho unachoweza kusema anakifanya kwa sasa kocha wa Kakamega Homeboyz, Bernard Mwalala baada ya kikosi chake kupoteza fursa adimu ya kushinda...

 8. Olunga anafukuzia cheki nzito Qatar

  NAHODHA wa Harambee Stars, Michael Olunga anafukuzia cheki nzito ya dola 100,000 (Sh11.5 millioni) baada ya kuteuliwa kuwania tuzo la mchezaji bora wa msimu 2021/22.

 9. Hali ya hewa yazidi kutibuka FKF

  Sintofahamu inayoendelea kuikumba uongozi wa soka la Kenya sasa imezua hofu kuhusiana na ikiwa bingwa wa Ligi Kuu ya FKF-PL msimu huu, atapokea pesa zozote za ushindi.

 10. Aussems awaza ubingwa

  KOCHA wa AFC Leopards, Patrick Aussems kasema msimu ujao anapania kuifukuzia taji la Ligi Kuu baada ya kutumia msimu huu, kusuka kikosi kipya kabisa.

Page 1 of 7

Next