Search

718 results for Ramadhan Elias :

 1. Mgunda atoa msimamo wake Simba

  KOCHA Mkuu wa Simba, Juma Mgunda ametoa msimamo mkali wa kusimama na wachezaji wake kwa matokeo yoyote yale huku akiwaonya mashabiki kuacha kuwashambulia badala yake wawape sapoti.

 2. Bundi atua KMC

  KMC inakabiliwa na majeruhi sita ya wachezaji wake wa kikosi cha kwanza ambao kila mmoja jambo linaloipa wakati mgumu timu hiyo. Kabla ya mechi ya jana ugenini dhidi ya Singida Big Stars...

 3. Ishu ya Saido kutua Simba iko hivi...

  Athuman ‘Sheva’, Kelvin Yondan, Ramadhan Chombo, Samson Sebusebu, Oscar Maasai, Hussein Bakari na George Mpole ambao kwenye siku za hivikaribuni kila mmoja amekuwa na ishu binafsi na uongozi.

 4. Huko Liti, kuna matokeo ya kushtua, makocha waahidi boli matata

  KWA matokeo ya mechi tano za Yanga ugenini sambamba na fomu ya mwisho ya Dodoma Jiji ikishinda bao 2-1 ugenini dhidi ya KMC, wadau wanatabiri matokeo ya kushtua leo kwenye mechi ya Yanga na...

 5. Banda hadi mwakani

  WINGA wa Simba, Peter Banda anatarajiwa kukaa nje ya uwanja hadi Februari 2023 akiuguza majeraha aliyoyapata kwenye mechi dhidi ya Singida Big Stars. Banda aliumia kifundo cha mguu, 'Enka'...

 6. Simba mpya tamu!

  UONGOZI wa Simba baada ya vikao vya mara kwa mara katika siku za hivi karibuni, umeafikiana kukisuka upya kikosi chao na kuhakikisha mashabiki wake wanakula Sikukuu ya Krismasi wakiwa na furaha...

 7. Vita ufungaji bora yakolea Ligi Kuu Bara

  WAKATI ladha za Ligi Kuu Bara zikiendelea kwa kila timu kujitafuta ili kufikia malengo yake, vita imehamia kwenye kuwania kiatu cha ufungaji bora ambapo mastaa wa 10 wameonesha kuwania tuzo...

 8. Manula amtetea Kibu

  MAMBO yamezidi kuwa magumu kwa mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis baada ya kushindwa kuonyesha ubora tangu msimu uanze jambo lililozua hisia tofauti kwa mashabiki, lakini kipa wa timu hiyo, Aishi...

 9. Simba inashinda lakini haifurahi

  SIMBA juzi Jumatano imeondoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na ushindi mwingine wa bao 1-0, dhidi ya Namungo lakini haikuwa na furaha kabla, wakati na baada ya mchezo huo wa Ligi Kuu duru ya 11.

 10. Simba yaleta kocha Mreno

  MUDA wowote kuanzia wakati huu mabosi wa Simba wapo kwenye hatua za mwisho kumtangaza kocha mkuu mpya ambaye mchakato wake wa kumpata umekamilika na anasubiri tiketi ya ndege ili kutua nchini...

Page 1 of 72

Next