Dodoma Jiji kukaa mezani na Abdi Banda UONGOZI wa Dodoma Jiji, unaendelea na maboresho ya kikosi na umeanza mchakato wa kuongeza mikataba mipya kwa wachezaji waliomaliza, ikianza na beki wa kati wa timu hiyo, Mtanzania Abdi Banda.
Rogath Akhwari ajitosa urais RT HOMA ya uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) imezidi kupanda, huku zikiwa zimesalia siku nne kabla ya kufungwa kwa zoezi la uchukuaji na urudishwaji wa fomu za kuwania nafasi...
Dodoma Jiji yatenga Sh2 Bilioni Ligi Kuu Bara 2025/26 FAINALI za Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani (CHAN) zitakazofanyika Tanzania, Kenya na Uganda zinakaribia na maandalizi yanamalizika, lakini kwa Dodoma Jiji, wanatumia kipindi...
Makocha 29 wapigwa msasa Arusha Makocha 29 wamemaliza kozi ya awali ya ukocha wa soka maarufu kama Fifa Grassroots Football Coaching Course kwa ajili ya kufundisha vijana na watoto.
Simbu, Geay kukiwasha Mampando Festival Msimu wa nne wa tamasha la Mampando unatarajiwa kufanyika kwa siku tatu kuanza Juni 23, huku wanariadha wa kimataifa wa Tanzania, Alphonce Simbu na Gabriel Geay wakiwa miongoni mwa nyota ambao...
Miloud agusia dabi, wakiikabili Prisons WAKATI Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Amani Josiah akisema kwa muda waliofanya mazoezi vijana wake wameonyesha ari na morali kubwa hivyo kesho matarajio ni kuendeleza matokeo mazuri, yule wa...
Noble asubiri mbili Fountain Gate HATIMA ya kipa namba moja wa timu ya Fountain Gate, Mnigeria John Noble itajulikana baada ya msimu wa Ligi Kuu Bara kumalizika iwapo atasalia au ataondoka ndani ya kikosi hicho.
Bosi ligi ya Rwanda avutiwa na uwekezaji Bara Mwenyekiti wa Ligi Kuu Rwanda ambaye pia ni mmiliki wa timu ya Gorilla ambayo inashiriki ligi hiyo, Mudaheranwa Hadji Yussuf amevutiwa na uwekezaji ambao umefanywa katika soka la Tanzania ambao...
Coastal, Azam zamtega kocha Fountain KOCHA Mkuu wa Fountain Gate, Mohamed Laizer amedai mechi mbili za Ligi Kuu Bara zilizosalia ni ngumu kutokana na mahitaji ya wapinzani wao, akizitaja dakika 180 kuwa ndizo zinazomnyima usingizi...
Boban, Redondo wana jambo lao Arusha NYOTA mbalimbali waliowahi kucheza kwa mafanikio makubwa katika michuano ya Kombe la Klabu za Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) wakiwamo Haruna Moshi 'Boban', Abdallah Kibadeni, Ramadhani Chombo...