Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

960 results for Eliya Solomon :

  1. Mvua yazitibulia Singida Black Stars, Yanga uzinduzi wa Uwanja mpya

    Mechi ya ufunguzi wa uwanja mpya wa Singida Black Stars baina ya timu hiyo na Yanga, imeishia katika dakika ya 57 kutokana na mvua kubwa kunyesha iliyosababisha mchezo huo kutoendelea.oy...

  2. Huu ndio uwanja mpya wa Singida BS

    KLABU ya Singida Black Stars leo, Jumatatu imeandika historia mpya kwa kuzindua rasmi uwanja wake wa nyumbani hapa Mtipa unaotajwa kuwa wa kisasa zaidi katika mkoa wa Singida.

  3. VIDEO: Singida BS yaingia anga za Bayern Munich kisa mashabiki

    MTENDAJI Mkuu wa Singida Black Stars, Jonathan Kasano, amefichua kuwa kuanzia msimu ujao, jezi namba 12 haitavaliwa na mchezaji yeyote kwenye kikosi cha timu hiyo, badala yake itakuwa maalum kwa...

  4. Yanayosubiriwa uzinduzi uwanja wa Singida

    LEO Jumatatu, Machi 24, 2025, ni siku ya kihistoria kwa wapenda soka wa Mkoa wa Singida na taifa kwa ujumla, kwani klabu ya Singida Black Stars inazindua rasmi uwanja wake mpya. Uzinduzi huu ni...

    SINGIDA Pict
  5. PRIME Mpanzu, Kibu wampa mzuka Fadlu

    KOCHA wa Simba, Fadlu Davids ameeleza mkakati wake wa kiufundi katika safu ya ushambuliaji akisisitiza umuhimu wa kubadilishana nafasi kwa wachezaji wa mbele ikiwemo Elie Mpanzu, Kibu Denis na...

  6. Vita ya kushuka Ligi Kuu Bara si mchezo

    LIGI itapasuka vipande vipande ni maneno ya kocha wa Namungo, Juma Mgunda, ambaye aliyasema siku chache zilizopita kutokana na ushindani uliopo katika makundi tofauti. Wapo wanaosaka ubingwa, nne...

    VITA Pict
  7. PRIME Upepo wa ubingwa Bara, mtego upo hapa!

    UPEPO umebadilika. Upepo wa mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara umebadilika baada ya timu kadhaa zilizokuwa zikichuana na vigogo Simba na Yanga kujichuja wenyewe njiani.

    UPEPO Pict
  8. Fadlu: Sasa tunawataka Al-Masry

    BAADA ya ushindi mnono wa mabao 6-0 dhidi ya Dodoma Jiji katika Ligi Kuu Bara, Kocha wa Simba, Fadlu Davids ameonyesha kuridhishwa na kiwango kilichoonyeshwa na kikosi chake akisisitiza kuwa kazi...

  9. Mangungu atoa kauli Yanga kwenda CAS

    MWENYEKITI wa Simba SC, Murtaza Mangungu amegusia taarifa ya Klabu ya Yanga kuwa inataka kwenda Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS), kudai pointi tatu za mchezo wa Kariakoo Dabi...

  10. Ahoua, Kibu wafunika, Simba ikiifyatua Dodoma Jiji

    TUSIZOEANE. Ni kama onyo kali vile ilichofanya Simba jioni ya leo katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji kwa kuweka rekodi ya kibabe huku wakipunguza utofauti wa pointi kati yao na...

    SIMBA Pict

Page 1 of 96

Next