Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1011 results for Charles Abel :

  1. DROO CHAN 2024: Ugumu, wepesi uko hapa

    Droo ya fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (Chan) 2024 itafanyika keshokutwa Jumatano jijini Nairobi katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Kenyatta.

    CHAN Pict
  2. Simbu aula Boston Marathon 2025

    MWANARIADHA nyota wa kimtaifa wa Tanzania, Alphonce Simbu ni miongoni mwa mastaa 10 ambao wamepewa mualiko wa kushiriki mbio za Boston Marathon 2025, huko Marekani zitakazoshirisha wanariadha...

    Simbu Pict
  3. AKILI ZA KIJIWENI: Nabi anapitia tanuri la moto Sauzi

    RAFIKI yetu Nasreddine Nabi wakati anakuja nchini kwa mara ya kwanza kufanya kazi ya kuinoa Yanga, hakukuwa na mbwembwe wala hekaheka nyingi za vyombo vya habari.

    Nabi Pict
  4. PRIME Fadlu kufunga busta Angola, hii hapa sababu ya kujaza viungo

    KIKOSI cha Simba kimetua salama jijini Luanda, Angola kwa ajili ya kuwahi mchezo wa tano wa Kundi A wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Bravos do Maquis utakaopigwa wikiendi hii, huku kocha wa...

  5. AKILI ZA KIJIWENI: Naziona Simba, Yanga zikitoboa robo fainali

    MECHI za hatua ya makundi za mashindano ya klabu Afrika zinahitaji kuzicheza kwa akili na hesabu kubwa kwa sababu zimekaa kimtego sana hivyo zinatakiwa kuendewa kwa adabu.

    Robo Pict
  6. AKILI ZA KIJIWENI: Kilimanjaro Stars imetupa ukweli wa Simba na Yanga

    KUNA wash'kaji hapa mtaani wamekuwa wakilalamika sana mara kwa mara pale timu ya taifa inapoitwa wakidai kunatakiwa kuwe na usawa kwa wachezaji kutoka klabu zote.

    Kilimanjaro Pict
  7. Fadlu ategua mtego wa kwanza Simba

    Kocha wa Simba, Fadlu Davids amefanikiwa kuruka kihunzi cha kwanza kati ya viwili ambavyo viliwashinda makocha wenzake katika misimu mitatu iliyopita ambayo Yanga ilitwaa ubingwa wa Ligi Kuu.

    Fadlu Pict
  8. AKILI ZA KIJIWENI: Sio ajabu Morrison kusajiliwa KenGold

    UKIHISI usajili uliofanywa na KenGold kumnasa winga wa zamani wa Yanga na Simba, Bernard Morrison kuwa ni jambo la kushangaza basi wewe amua tu kuachana na soka la Bongo.

  9. AKILI ZA KIJIWENI: Mara wameamua kuishusha Biashara Utd

    WIKI iliyopita ambayo ilikuwa ya mwisho kwa mwaka 2024, haikumalizika vizuri kwa mkoa wa Mara baada ya kamati ya usimamizi na uendeshaji wa ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kutoa uamuzi...

  10. AKILI ZA KIJIWENI: Jibu la Chalamanda ni rahisi sana

    MDAU mmoja hapa kijiweni amehoji kwa nini kipa wa Kagera Sugar, Ramadhan Chalamanda kaitwa katika kikosi cha timu ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ kitakachocheza kwenye Kombe la Mapinduzi.

Page 1 of 102

Next