PRIME Hamza, Camara waikoleza Dabi Juni 25 MASHABIKI wa soka nchini wameanza kuhesabu vidole kuhusiana na siku ya kupigwa Dabi ya Kariakoo iliyopangwa kuchezwa Juni 25 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam baada ya kuahirishwa...
Yanga yapaa kwenda Mbeya, yawaacha wawili Dar KIKOSI cha Yanga kimeondoka jioni hii kutoka jijini Dar es Salaam kwenda Mbeya tayari kwa mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons huku ikiwabakiza mjini wachezaji wawili tu miongoni mwa...
Marefa wa ngumi kupigwa msasa KAMISHENI ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) imesema itaendelea kutoa kozi ya waamuzi wa mchezo ili kuongeza weledi katika kazi zao.
Wapiga mbizi waikuna BMT OFISA Michezo wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Charles Maguzu, ameupongeza uongozi Chama Cha Kuogelea Tanzania (TSA) kutumia mashindano kuimarisha ukanda wa CECAFA na kuvitaka vyama vingine...
Fountain Gate yagoma kushuka daraja Bara MKURUGENZI wa Fountain Gate Academy, Japhet Makau, amesema mechi mbili zilizobaki zinaipa nafasi timu hiyo kutokushuka daraja kutoka Ligi Kuu.
Coastal Union waitana Tanga WAGOSI wa Kaya ‘Coastal Union’ wanajiandaa kuzipokea timu za Fountain Gate na Tabora United katika mechi mbili za Ligi Kuu Bara za kufungia msimu huu, lakini mabosi wa klabu hiyo wamewaita...
Kocha Mkenya kwenye nyayo za Simba UONGOZI wa Simba upo kwenye mchakato wa kumalizana na Kocha wa timu ya taifa ya Kenya ya wanawake Harambee Starlets, Beldine Odemba kwa ajili ya kuinoa Simba Queens msimu ujao.
PRIME Azam FC, Ibenge kuna kitu Unaambiwa kwamba mambo ni moto! Kila timu inasuka kikosi chake kimyakimya, lakini kuna mambo huenda yakashangaza msimu ujao wa Ligi Kuu Bara nje na usajili wa mastaa vikosini.
Fadlu atoa siku mbili Simba SIKU moja baada ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kutangaza kusogezwa mbele kwa mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba, kocha wa Simba, Fadlu Davids ametoa mapumziko ya siku mbili...
Watoto wachuana kuongelea ubingwa Taifa WAOGELEAJI 295 wamejitokeza kushiriki mashindano ya kuogelea ya ubingwa wa Taifa kwa vijana wadogo chini ya miaka 12 kutoka Bara na Zanzibar.