Wakimbiaji 700 kushiriki Fistula Marathon Arusha Wanariadha wa kimataifa, Failuna Abdi Matanga na Angelina John, wamejitosa kuwa mabalozi wa mbio za Fistula Marathon zinazolenga kusaidia matibabu ya wanawake wanaoathirika na ugonjwa huo wakati...
Kisa migogoro, chaneta yapigwa pini kimataifa SERIKALI imekipa kibarua Chama cha Mchezo wa Netiboli nchini (Chaneta) kutatua migogoro yao ya ndani sambamba na kufanya uchaguzi mzuri wa wachezaji wa timu ya Taifa kwa kufuata haki.
Tanzania yapokonywa tonge Arusha TIMU ya Taifa ya Uganda imetwaa ubingwa wa kwanza wa kombe la mpira wa miguu kwa wanawake wasio na makazi Afrika (Afrika Homeless Women’s Cup 2024), baada ya kuichapa Tanzania mabao 6-1 katika...
Tanzania yafunika michuano ya EAUWC WENYEJI Tanzania imefunika katika mashindano ya michezo kwa Wanafunzi wa Kike wa Vyuo Vikuu vya Nchi za Afrika Mashariki (EAUWC) yaliyomalizika jana mkoani Arusha. Mashindano hayo...
Simbu avaa ubalozi wa matibabu Fistula Mwanariadha wa kimataifa kutoka Tanzania, Alphonce Simbu anatarajia kuongoza zaidi ya wanariadha 600 nchini kushiriki mbio za Fistula Marathon kwa ajili ya kutoa elimu na kuchangisha fedha za...
Azam yaichapa Mbuni Arusha Azam FC imeifunga Mbuni FC mabao 2-0 katika mchezo wa kurafiki uliopigwa jijini Arusha. Mechi hiyo imepigwa katika Uwanja wa Sheik Amri Abeid unatumika na timu hizo kama maandalizi ya mechi zao...
Polisi watamba kutwaa ubingwa michuano ya Netiboli Kikosi cha timu ya Polisi Arusha kimeanza tambo za mapema za kunyakua ubingwa wa michuano wa ligi daraja la kwanza kwa mchezo wa netbali inayotarajia kuanza kutimua vumbi june 21 hadi 29 mwaka...
300 washiriki mazoezi ya Yoga Arusha Zaidi ya washiriki 300 kutoka maeneo mbali mbali ya jiji la Arusha wamefanikiwa kushiriki mazoezi maalum ya Yoga huku wakitaka jamii zingine kuifanya kama desturi katika ratiba zao za kila siku...
Les Wanyika kupagawisha mashabiki wa Rhumba leo Arusha Wataalamu wa burudani wa nyimbo za miondoka ya Rhumba Afrika Mashariki na kati, 'Les Wanyika' wamerudi tena kwa kishindo nchini na wanatarajia kufanya shoo ya kibabe leo jumamosi May 27 jijini...
Arusha mjini wajiongeza Baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kupitisha azimio linaloelekeza ligi za wilaya kuchezwa na vijana chini ya umri wa miaka 20, chama cha soka wilaya ya Arusha mjini (ADFA) wameamua...