SIMULIZI YA HADITHI: Machozi ya mshumaa - 2 ZAWADI alijikuta akishangaa busara za yule mwanaume aliyeonekana mwenye busara na huruma. Japo hakupenda kuyakumbuka alichofanyiwa na mpenzi wake ambayo huufanya moyo uvuje damu kwa ndani. Hakuwa...
Ngumi yamzimisha mtu saa mbili Dar NI rahisi kushangilia mabondia wanapozichapa ulingoni, lakini ukiwauliza maumivu yake utajua ni mchezo mgumu unaowafanya baadhi yao wakati mwingine kupoteza fahamu wakiwa kazini.
Mabondoa 30 akiwemo Dulla Mbabe kuzichapa kesho MABONDIA 30 wanatarajiwa kupanda ulingoni kesho katika uwanja wa ndani wa Taifa Dar es Salaam huku pambano kuu likiwakutanisha Salehe Mkalekwa dhidi ya Maono Ally.