Mambo 5 ushindi wa Yanga Ethiopia Unaweza kusema Kocha Miguel Gamondi amekuja Yanga kwa ajili ya kufanya yasiyowezekana yawezekane kwani hadi sasa ameifanya timu hiyo kuwa tishio katika michuano ya ndani na ile ya kimataifa.
Morocco anafunika wageni Taifa Stars Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Hemed Suleiman Morocco, ameleta matumaini mapya kwa mashabiki wa soka nchini Tanzania.
Mtanzania matumaini kibao Misri NYOTA wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga TUT FC inayoshiriki Ligi ya Wanawake nchini Misri, Hasnath Ubamba amesema anaamini utakuwa msimu bora kwake licha ya kwamba ni mara ya kwanza...
Diamond ashindwa kujizuia, awachana wanamponda SUPASTAA wa muziki wa Bongo, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, ameshindwa kujizuia na kuamua kuwajibu watu waliomkejeli na kumbeza kuhusu kauli aliyotoa ya ana ndoto ya kuwa tajiri namba moja...
Gofu Wanawake yaibeba nchi kimataifa MCHEZO wa Gofu Tanzania umepiga hatua kubwa sana katika ngazi ya kimataifa huku gofu ya ridhaa kwa wanawake ikitajwa kuwa na mafanikio zaidi ya ile ya wanaume, ripoti ya Chama cha Gofu ya...
PRIME Fadlu aliamsha Simba, arudia jambo lile lile KIKOSI cha Simba jana usiku kilikuwa jijini Tripoli, Libya kumalizana na Al Ahli Tripoli katika mechi ya mkondo wa kwanza ya raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika, huku kocha wa timu hiyo,...
Aziz KI: Bado dk 90 za Zanzibar KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Stephanie Aziz KI amesema bado hawajamaliza kuna dakika 90 nyingine pale New Amaan visiwani Zanzibar.
PRIME JICHO CHA MWEWE: CBE vs Yanga wamenikumbusha mwaka 1947 NIMEKUMBUKA zamani. Mwaka ‘arobaini na sabaa’. Pambano la CBE dhidi ya Yanga lililochezwa juzi pale Addis Ababa. Futi nyingi juu kutoka usawa wa bahari. Mashabiki wa Yanga hawakuridhishwa na...
Taoussi ashusha presha Azam FC KOCHA mpya wa Azam FC, Rachid Taoussi ameanza na suluhu katika Ligi Kuu Bara akiiongoza kwa mara ya kwanza dhidi ya Pamba Jiji, huku akisema hana presha na matokeo hayo na mambo mazuri yatakuja...
Goran ambeba Yona, alili bao Chamazi PAMBA Jiji bado inaendelea kujitafuta baada ya kurejea Ligi Kuu ikiwa imepita miaka 23 tangu iliposhuka daraja, lakini kocha wa timu hiyo, Goran Kopunovic akimtaja kipa Yona Amos kama mchezaji...