Search

893 results for Thomas Ng'itu :

  1. Benchikha ataka mabao Simba

    Dar es Salaam. Kocha mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha ameweka wazi timu hiyo ina shida katika eneo la ushambuliaji baada ya kutofunga mabao mengi kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba kwenye...

  2. Mashujaa yachukua mfungaji bora

    Klabu ya Mashujaa imedaka saini ya aliyekuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu msimu wa 2016/17, Abrahman Mussa kwa jili ya kuongeza nguvu kwenye eneo la ushambuliaji.

  3. Azam, KMC ngoja tuone

    AZAM FC ipo moto, KMC wapo vizuri na leo usiku zinakutana kwa mara ya kwanza msimu huu katika mechi ya Ligi Kuu Bara, huku mashabiki wakisubiri kuona nini kitakachotokea kwenye dakika 90 za...

  4. Biashara wao muhimu pointi tatu tu

    KOCHA mkuu wa Biashara United, Aman Josiah amesema anajua ugumu wa mechi yao ya leo dhidi ya Cosmopolitan Fc kwani ni miongoni mwa timu zinazocheza soka la kuvutia lakini atahakikisha anatoka na...

  5. Nafasi za Simba, Yanga CAF ni hapa

    Klabu za Tanzania kesho zitaendelea kusaka nafasi ya kukaa sehemu nzuri kwenye makundi yao kwa kucheza mechi za pili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Simba itakuwa ugenini nchini Botswana ikicheza na...

  6. Adel Zrane awaita mezani Simba

    Kocha wa zamani wa Simba, Adel Zrane anayeitumikia APR ya Rwanda amesema kuwa muda wowote ambao timu hiyo itamfuata ili kumrudisha ainoe atakuwa tayari ingawa hadi sasa hakuna ofa rasmi...

    New Content Item (1)
  7. Shujaa Kids kuhamasisha michezo kwa watoto

    Katika kuhamasisha michezo kwa watoto Shujaa Dyanamic Wellness and Fitness Activation Dynamic imeandaa tamasha kubwa likiitwa Shujaa Kids Temple Run. Tamasha hilo limehamasishwa na michezo...

  8. Diao kaingia kwenye mfumo Azam FC

    KOCHA mkuu wa Azam FC, Youssouph Dabo ameweka wazi kwamba anafurahishwa na mikimbio ya mshambuliaji wake Alassane Diao baada ya kufunga bao moja katika mchezo wa kirafiki dhidi ya JKU. Azam juzi...

  9. Sababu ya Tanzanite kufungwa

    BAADA ya kutolewa katika mbio za kufuzu Kombe la Dunia kwa timu za Taifa za wanawake chini ya miaka 20, kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Tanzanite Queen’, Bakari Shime amesema sababu...

  10. Yanga akili mingi, wawaduwaza Waalgeria

    YANGA imetumia akili kubwa kuhakikisha kwamba wachezaji wao wote wanakuwepo kwenye ardhi ya Algeria siku moja kabla ya mechi na CR Belouizdad. Usisahau pia kwamba Miguel Gamondi alishamaliza...

Previous

Page 2 of 90

Next