Mbosso aiombea Tanzania tuzo za hifadhi Afrika SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (Tanapa) limeingiza Hifadhi 10 kuwania tuzo za hifadhi bora Afrika, huku msanii Mbwana Yusuph 'Mbosso' akiomba wananchi kupigia kura kwa wingi ili Tanzania...
KenGold wajipa matumaini Ligi Kuu Bara WAKATI Kocha Mkuu wa Ken Gold, Omari Kapilima akituliza presha kwa mashabiki, timu hiyo haishuki daraja, habari njema ni baadhi ya mastaa waliokuwa nje kwa changamoto mbalimbali huenda wakarejea...
PRIME Fei Toto atoa kauli nzito Azam FC KIUNGO wa Azam, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema mechi sita zilizobaki ni kucheza kufa na kupona kwani lolote linaweza kutokea katika vita ya ubingwa, huku akifichua siri kinachomkwamisha kufunga...
Mwenyekiti Soka la Wanawake Mbeya afariki dunia Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Soka la Wanawake Mkoa wa Mbeya (MWFA), Atupakisye Jabir, amefariki dunia leo Aprili 3, 2025 wakati akipatiwa matibabu kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini...
Sillah, Saadun wailiza KenGold, Taoussi achekelea Harakati za kujinasua mkiani kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara zimeendelea kuwa ngumu kwa KenGold baada ya kukumbana na kipigo cha mabao 2-0 dhidi ya Azam FC. Katika mchezo wa leo Aprili 3, 2025...
Dakika 450 za Malale kufa, kupona Mbeya City Kocha Mkuu wa Mbeya City, Malale Hamsini amesema anafahamu ugumu uliopo katika Ligi ys Championship huku akieleza kuwa mkakati wake ni kukata kiu ya mashabiki wa timu hiyo kuirejesha Ligi Kuu Bara.
Morrison asimulia machungu kuikosa Ligi WINGA wa Ken Gold, Bernard Morrison amesema licha ya kurejea mazoezini na wenzake lakini bado hajawa fiti kucheza mechi akiomba muda zaidi kuwa sawa, huku akilia kuikosa Ligi Kuu.
Mayanga awavuruga Mbeya City akitajwa kuibukia Mashujaa Tetesi za kuondoka kwa Kocha Mkuu wa Mbeya City, Salum Mayanga zimeonekana kuwashtua vigogo wa timu hiyo wakieleza kuwa bado hawajapata taarifa rasmi, huku wakitoa msimamo mzito.
Championship vita imehamia huku WAKATI Mtibwa Sugar ikizidi kupepea kileleni, kibarua kipo kwa miamba minne kusaka nafasi mbili za juu kwenye Championship kuitafuta Ligi Kuu msimu ujao.
Mashujaa FC yaamka, Ngushi atoa msimamo WAKATI kaimu kocha mpya wa Mashujaa, Charles Fred akichekelea kuanza vyema kibarua baada ya kuambulia sare ya 2-2 ugenini mbele ya KenGold, mshambuliaji wa timu hiyo, Crispin Ngushi amesema kasi...