Search

139 results for Kelvin Kagambo :

  1. TUONGEE KISHKAJI: Mitandao inavyogawa koneksheni kwa upendeleo

    MITANDAO ni mizuri lakini kuna muda naona inazingua kwa jinsi inavyowanyima baadhi ya watu koneksheni. Siongelei koneksheni hiyo, naongelea koneksheni koneksheni, utanielewa vizuri. Mwaka ule...

  2. TUONGEE KISHKAJI; Msanii mpya ndo huyo, Bongo movie mjiandae kumpeleka mjini

    HAYA haya hayaaaaa! Msanii mpya wa Wasafi ndo huyo katambulishwa kinadada wa Bongo Movie mjiandae kufanya kazi ya kumpeleka mjini. Na yeyote tutakayempa kazi itabidi afuate plani hii. Ataanza...

  3. PRIME TUONGEE KISHKAJI: Filamu hazihitaji uhalisia, zinahitaji kuaminika

    WASHIKAJI wanasema Filamu za Bongo hazina uhalisia, kisha wanaanza kusimuliana kuhusu muvi za Rambo, jamaa ambaye yuko pekee yake kwenye uwanja wa vita, anapambana na waveti zaidi ya mia moja na...

  4. TUONGEE KISHKAJI: Faida ya majina mazuri kwa mastaa

    JINA lina faida kubwa kwenye biashara yoeyote. Kimsingi kuna wataalamu wa biashara wanasema sehemu kuu muhimu zinazokuunganisha mfanyabiashara na wateja wako ni mbili. Kwanza ni huduma au bidhaa...

  5. TUONGEE KISHKAJI: Fella Kuti, TX Moshi wanashangilia huko walipo

    NIKO Tiktok nakumbana na video moja inayonivutia na kunifanya nisiivuke kwenda kwenye nyingine, niitazame kwanza. Ni video inayomuonYesha jamaa akiwa mtaani nchini Uingereza akisimamisha watu...

    New Content Item (1)
  6. TUONGEE KISHKAJI: Sanaa yetu inabadilika ndio somo

    SIKU moja muongoza filamu mkongwe wa Marekani, Martin Scorsese alisema filamu zinazobamba enzi hizi Marekani na duniani kote filamu za ‘Super Heroes’ kama vile Black Panther, Spider-Man na...

  7. PRIME TUONGEE KISHKAJI: Maharamia walivyoubeba muziki Afrika

    NATAZAMA mahojiano ya Ruger, msanii wa Nigeria aliyeimba wimbo wa Asiwaju na nyingine nyingi kali. Mtangazaji anamuuliza unafahamu kwamba Kenya kuna mtu anafanana nawe kimuonekano, hivyo hupanda...

    New Content Item (1)
  8. TUONGEE KISHKAJI: Kwenye lebo za muziki tuliruka stepu mapema

    UKIKAA na wasanii wa Bongofleva ambao hawapo kwenye lebo watakuambia kwanini hawafanyi muziki na lebo. Watakuambia Tanzania mambo ya lebo ni kudanganyana tu. Lebo itakupa pesa, lakini na masharti...

  9. TUONGEE KISHKAJI: Wasanii wakongwe wanawaonea wivu wapya?

    BAADA tu ya makala niliyoandika wiki iliyopita kuchapishwa nikakutana na video ya Afande Sele akimuongelea Young Lunya kwa namna ya kipekee. Nikukumbushe tu kwenye makala niliyoandika wiki...

  10. PRIME TUONGEE KISHKAJI: Ya wasanii wa zamani, yatawakuta wapya

    LICHA ya kwamba Lamata Leah Mwendamseke unafanya kazi kubwa ya kuhakikisha Bongo Movie bado inaongelewa kupitia tamthiliya yako ya Jua Kali lakini na wewe jiandae kukutwa na yaliyomkuta Vincent...

Previous

Page 2 of 14

Next