Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

778 results for Imani Makongoro :

  1. PRIME Hatimaye Hersi afunguka ndoa ya Aziz Ki, Mobetto

    Rais wa Yanga, Hersi Said amevunja ukimya kuhusu ndoa ya nyota wa timu hiyo, Stephane Aziz Ki na Hamisa Mobetto.

  2. Matumla anavyowaburuza vijana nje ya ulingoni

    Licha ya kutopanda ulingoni kwa miaka 11 mfululizo, Rashid Matumla ameendelea kutajwa kama bondia bora wa muda wote chini, akiwaburuza nyota wanaofanya vizuri hivi sasa.

    Matumla Pict
  3. Hatua kwa hatua pambano la KO ya Mama

    Furaha ya Watanzania imeongezeka zaidi baada ya mabondia watano kutwaa mikanda ya ubingwa.

  4. IOC yatoa tamko uchaguzi TOC

    KAMATI ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC) imetoa tamko la uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC).

    IOC Pict
  5. SPOTI MIKIKI: Mwaka wa medali, machozi na Jasho

    Tunajiandaa kuanza mwaka mpya wa 2025, familia ya michezo ya ‘non soccer ‘ itaendelea kuuukumbuka mwaka 2024 unaoelekea ukingoni, katika maeneo matatu ya medali, machozi na jasho.

    Mikiki Pict
  6. Tanzania yakumbushwa kujipanga Olimpiki 2028

    MAKATIBU wakuu wa vyama vya michezo vinavyoshiriki Olimpiki wametakiwa kuanza kuweka mikakati ya maandalizi ili timu zao ziweze kushiriki kwenye Olimpiki ya 2028.

    Olimpiki Pict
  7. Simbu akwama Kawata Mlugu akishinda, Nyambui kesho

    Wakati mwanariadha Alphonce Simbu akikwaa kisiki kwenye uchaguzi wa Kamisheni ya Wachezaji (Kawat), Judoka Andrew Thomas Mlugu ametawazwa kuwa mwenyekiti mpya wa Kamisheni hiyo.

    Simbu Pict
  8. TMK Wanaume Halisi, Wanaume Family WOTE Jukwaa moja

    UNAKUMBUKA ule mtiti wa TMK Wanaume Family ‘Mapanga Shaa’ kabla ya kutengana na kuzaliwa kwa Wanaume Halisi? Sasa unaambiwa makundi hayo yatapanda kwenye jukwaa moja jijini Dar es Salaam...

    TMK Pict
  9. Mlugu, Simbu kuchuana uenyekiti Kawata, Saliboko ajiengua

    Nyota wa Riadha, Alphonce Simbu na mwanajudo bingwa wa Taifa, Andrew Thomas Mlugu ni miongoni mwa wagombea watatu wanaochuana kuwania uenyekiti wa Kamisheni ya Wachezaji Tanzania (Kawata).

    Riadha Pict
  10. Uchaguzi TOC wafutwa, Mtaka, Tandau kurudishiwa fedha

    UCHAGUZI Mku wa Kamati ya Olimpiki uliokuwa ufanyike Desemba 28, umefutwa rasmi na Serikali.

    TOC Pict
Previous

Page 2 of 78

Next