Spika wa Bunge la Tanzania,Job Ndugai akimkabizi tuzo ya heshima mfadhili wa zamani wa Simba,Azim Dewij (kulia),kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Simba,Mohammed Dewij
Photo: 2/5
Mwenyekiti wa bodi ya Simba,Mohammed Dewji (kushoto) akimkabizi tuzo ya goli bora kiungo wa Simba,Clatous Chama.
Photo: 3/5
Mwanamitindo wa Kimataifa,Flavian Matata (kulia) akimkabizi tuzo ya mchezaji bora wa kike katika timu ya wanawake ya Simba,Mwanahamis Omari.
Photo: 4/5
Baruani Muhuza wa Azam TV (kushoto) akimkabizi tuzo ya mfungaji bora mshambuliaji wa Simba,Meddie Kagere.