Cheki mkeka wako huu Qatar

DOHA, QATAR. ILE vita ya kusaka ubingwa wa dunia kwenye fainali za Kombe la Dunia 2022 Qatar imefika kwenye hatua ya robo fainali, ambapo jana Jumanne zilipigwa mechi za mwisho za hatua ya 16 bora.

Ureno ilikuwa na kibarua kizito mbele ya Uswisi na Morocco ilimalizana na Hispania. Kilichotokea kimetokea na kupatikana timu mbili zitakazoungana na wababe wengine, Ufaransa, England, Argentina, Croatia, Brazil na Uholanzi kwenye hatua hiyo ya nane bora ya fainali hizo za Qatar 2022.

Bila ya kujumuisha mechi za jana, hizi hapa takwimu za kibabe kabisa za huko Qatar hadi sasa, kwa mujibu wa FBRef.


Mabao

Kylian Mbappe (Ufaransa) - 5

Marcus Rashford (England) - 3

Richarlison (Brazil) - 3

Lionel Messi (Argentina) - 3

Bukayo Saka (England) - 3

Olivier Giroud (Ufaransa) - 3

Cody Gakpo (Uholanzi) - 3

Enner Valencia (Ecuador) - 3

Alvaro Morata (Hispania) - 3


Asisti

Harry Kane (England) - 3

Vinicius Jr (Brazil) - 2

Denzel Dumfries (Uholanzi) - 2

Bruno Fernandes (Ureno) - 2

Kylian Mbappe (Ufarasa) - 2

Davy Klaassen (Uholanzi) - 2

Jordi Alba (Hispania) - 2

Theo Hernandez (Ufaransa) - 2

Ivan Perisic (Croatia) - 2

Andrija Zivkovic (Serbia) - 2

Dusan Tadic (Serbia) - 2

Phil Foden (England) - 2

Ousmane Dembele (Ufaransa) - 2

Christian Pulisic (Marekani) - 2


Mashuti (kulenga golini)

Kylian Mbappe (Ufaransa) - 21 (10)

Lionel Messi (Argentina) - 17 (8)

Serge Gnabry (Ujerumani) - 12 (4)

Jamal Musiala (Ujerumani) - 12 (3)

Marcus Rashford (England) - 10 (6)

Dani Olmo (Hispania) - 10 (5)

Memphis Depay (Uholanzi) - 10 (5)

Luis Chavez (Mexico) - 10 (4)

Ivan Perisic (Croatia) - 10 (3)

Aleksandar Mitrovic (Serbia) - 10 (3)

Robert Lewandowski (Poland) - 10 (2)

Ismaila Sarr (Senegal) - 10 (1)


Pasi muhimu

Antoine Griezmann (Ufaransa) - 14

Lionel Messi (Argetina) - 13

Dusan Tadic (Serbia) - 10

Ousmane Dembele (Ufaransa) - 9

Mehdi Taremi (Iran) - 9

Christian Eriksen (Denmark) - 9

Theo Hern·ndez (Ufaransa) - 9

Joshua Kimmich (Ujerumani) - 9

Cody Gakpo (Uholanzi) - 9

Christian Pulisic (Marekani) - 9


Pasi kwenye penalti boksi

Lionel Messi (Argentina) - 11

Ousmane Dembele (Ufaransa) - 10

Angel Di Maria (Argentina) - 10

Antoine Griezmann (Ufaransa) - 9

Dusan Tadic (Serbia) - 9

Joshua Kimmich (Ujerumani) - 9

Kevin De Bruyne (Ubelgiji) - 9


Usahihi wa pasi (viungo tu)

Leander Dendoncker (Ubelgiji) - 97.5%

Axel Witsel (Ubelgiji) - 95.5%

Aurelien Tchouameni (Ufaransa) - 93.6%

Declan Rice (England) - 93.1%

Wiliam Carvalho (Ureno) - 92.7%


Kunasa mipira

Pedro Miguel (Qatar) - 8

Declan Rice (England) - 8

Aurelien Tchouameni (Ufaransa) - 8

Josko Gvardiol (Croatia) - 8

Luka Modric (Croatia) - 7

Rodrigo Bentancur (Uruguay) - 7

Jose Gimenez (Uruguay) - 7

David Raum (Ujerumani) - 7

Ellyes Skhiri (Tunisia) - 7

Jurrien Timber (Uholanzi) - 7

Denzel Dumfries (Uholanzi) - 7

Antonee Robinson (Marekani) - 7

Kyle Rowles (Austrlia) - 7


Kuokoa hatari

Kalidou Koulibaly (Senegal) - 30

Josko Gvardiol (Croatia) - 26

Maya Yoshida (Japan) - 24

Kamil Glik (Poland) - 23

Harry Souttar (Australia) - 22

Yassine Meriah (Tunisia) - 20

Nathan Ake (Uholanzi) - 20


Kugusa mpira ndani ya penalti boksi

Kylian Mbappe (Ufaransa) - 42

Jamal Musiala (Ujerumani) - 28

Lionel Messi (Argentina) - 25

Ivan Perisic (Croatia) - 25

Christian Pulisic (Marekani) - 23

Serge Gnabry (Ujerumani) - 21

Ismaila Sarr (Senegal) - 20


Kuokoa (makipa)

Wojciech Szczesny (Poland) - 21

Vanja Milinkovic-Savic (Serbia) - 16

Shuichi Gonda (Japan) - 15

Andres Noppert (Uholanzi) - 14

Mohammed Al-Owais (Saudi Arabia) - 14

Mathew Ryan (Australia) - 12