MIDDIE KAGERE: Kwa Simba hii, moto hautazimika

TUNASHUKURU Mungu kwa matokeo mazuri tuliyopata mbele ya Al Ahly, lakini niwapongeze wachezaji wenzangu wote, benchi la ufundi, viongozi, wanachama na mashabiki wa Simba kwa kuweza kufanya kile ambacho wengi hawakuwa wakiamini tutakifanya mbele ya Wamisri.

Al Ahly ni klabu kubwa, ndio watetezi wa ubingwa wa Afrika na majuzi tu wametoka kucheza fainali za Klabu Bingwa ya Dunia na kumaliza nafasi ya tatu, hivyo wengi waliamini huenda wangetusumbua, lakini tumeishika na ushindi wa bao 1-0 na kuzidi kutuweka pazuri.

Kama hamjui ni kwamba Simba malengo yetu kwa msimu huu katika michuano ya Afrika ni ……………

Soma zaidi hapa: www.egazeti.co.tz