Obrey Chirwa, Okwi hawakamatiki

Sunday February 25 2018
Obrey pic

Dar es Salaam. Nyota wanne Ligi Kuu Tanzania Bara wamejiweka kwenye mbio za kuwa mfungaji bora baada ya kukaribiana idadi ya mabao waliyozifungia timu zao msimu huu.
Emmanuel Okwi ameonekana kuwa na kasi zaidi baada ya kufikisha mabao 14 huku mwenzake wa Yanga, Obrey Chirwa akimfukuzia kwa ukaribu.
Wafungaji:
14    Emmanuel Okwi         (Simba)
11    Obrey Chirwa        (Yanga)
10    John Bocco        (Simba)
9    Habib Kiyombo        (Mbao)
7    Mohammed Rashid        (Prisons)
    Eliud Ambokile        (Mbeya City)
6    Shiza Kichuya        (Simba)
    Marcel Boniventure        (Majimaji)    
5     Ibrahim Ajib        (Yanga)
    Asante Kwesi        (Simba)
    Eliuta Mpepo        (Prisons)
    Khamis Mcha 'Vialli'(Ruvu Shooting)
    Paul Nonga        (Mwadui)

Advertisement