Lettie Matabane wa Isidingo afariki

MWIGIZAJI wa zamani wa Isidingo ya Afrika Kusini, mrembo Lettie Matabane, amefariki dunia akiwa na miaka 40.Kaka wa mwigizaji huyo, Moemise Motsepe, aliukuta mwili wa Lettie Randburg jana Jumatatu.
Mwaka 2011, Lettie alijitangaza kuwa ni mwathirika wa Ukimwi.