Kusudio Katao


Habari za kazi wapendwa wasomaji?
Mwananchi Communications (MCL) inawashukuru sana kwamchango wenu katika mijadala mbalimbali inayoendelea kwenye tovuti zetu.

Kwa kweli Watanzania mmeonyesha mwamko mkubwa wa kutumia teknologia kujaribu kulijenga hili taifa letu.

Sasa jamani, wakati tunapotoa maoni yetu katika midahalo hii ya kwenye mtandao, tuzingatie mambo yafuatayo:
1.    KASHFA:Mwananchihaita vumilia lugha chafu kwenye tovuti yake yoyote. Kama maoni (comments) yako yanakashfa au matus hatutayachapisha.

2.    MADA:Unapotoamaoni, tafadhalizingatiamadainayojadiliwa. Kumbukatovutizetuzinatembelewanawatuwahulka, tabi anamitaza motofauti. Usiwe mgomvi. Usiwe mchokozi.

3.    USIPIGE KELELE:Kwenye lugha ya mtandao, HERUFI KUBWA (CAPS) ni kama kupiga kelele. Maoni yaliyoandikwa KWA HERUFI KUBWA TUPU hayata chapishwa. Hata hivyo, ukohurukutumia CAPS kiasi kuonyesha msisitizo.

4.    MATANGAZO: Chonde chonde ndugu zangu, viboksi vyetu vya maoni kwenye tovuti sio sehemu ya kutangaza biashara yako. Tunaofanya hivyo tafadhali tuache.

5.    LUGHA: Tafadhali tumia Kiswahili kwenye tovuti hizi: http://www.mwananchi.co.tz/na http://mwanaspoti.co.tz/. Kwenye http://www.thecitizen.co.tz/, tumia Kiingereza.


Tunawashukuru kwa ushirikiano wenu, na twatarajia mtaendelea kuwa na si katika kuhakikisha tunaleta mabadiliko chanya katika demokrasia yetu hii changa.


Wako katika kujenga Taifa,
Victor Amani, Web Editor
Ushauri?Maoni? vmushi@tz.nationmedia.com