Mmoja afariki, wengine wajeruhiwa ajali za Simba na Yanga MASHABIKI wa klabu za soka za Simba na Yanga, wamepata ajali katika maeneo tofauti alfajiri ya leo na taarifa za kipolisi zimethibitisha mtu mmoja amefariki dunia na wengine kadhaa...
PRIME Ukiwa na macho ZPL marufuku BODI ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPLB) kupitia kwa Mtendaji Mkuu, Issa Kassim ameliambia Mwanaspoti hawatamruhusu kucheza mechi mchezaji yeyote atakayebainika kuwa na tatizo la macho mekundu maarufu...
Dk Mwinyi ajitosa ishu ya Zanzibar CAF SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesema bado inapambana ili kupata ufumbuzi juu ya suala la timu ya taifa ya soka ya Zanzibar, 'Zanzibar Heroes' la kutopata nafasi ya kushiriki...
Ule utamu wa miaka 1990 umeanza kurudi Zanzibar WALE waliokuwa wakiamini soka la Zanzibar limeporomoka kiasi kwamba isingekuwa rahisi kuwavuta mastaa wa kigeni kwenda kucheza visiwani humo, pole yao. Wadau na mashabiki wengi wa soka visiwani...
Kwa Mkapa mtapigwa hivi! MAKOCHA wa Simba na Yanga, Abdelhak Benchikha na Miguel Gamondi ndio waliobeba matumaini ya mashabiki na wadau wa soka la Tanzania katika mechi za robo fainali za kwanza za Ligi ya Mabingwa...
Wakenya wabeba ndoo Coco Beach TIMU za Kenya, Kwale Kings na Kilifian HC juzi zilidhihirisha kuwa bora katika mchezo wa mpira wa mkono wa ufukweni baada ya kutawala mashindano ya TAHA Open Handball Championship yaliyohusisha...
Arsenal ngoma ngumu LONDON,ENGLAND: Arsenal kijasho kinawatoka baada ya kutambua ratiba yao ni ngumu sana kabla ya kwenda kuwakabili mahasimu wao Tottenham Hotspur kwenye North London Derby. Arsenal bado...