Yanga kamili gado KAMBI ya Yanga imenoga baada ya nyota waliokuwa timu za taifa, akiwamo Pacome Zouzoua kurejea na moja kwa moja kuungana na wenzao kujiandaa na mechi ta robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika...
PRIME Ukiwa na macho ZPL marufuku BODI ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPLB) kupitia kwa Mtendaji Mkuu, Issa Kassim ameliambia Mwanaspoti hawatamruhusu kucheza mechi mchezaji yeyote atakayebainika kuwa na tatizo la macho mekundu maarufu...
Dk Mwinyi ajitosa ishu ya Zanzibar CAF SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesema bado inapambana ili kupata ufumbuzi juu ya suala la timu ya taifa ya soka ya Zanzibar, 'Zanzibar Heroes' la kutopata nafasi ya kushiriki...
Ule utamu wa miaka 1990 umeanza kurudi Zanzibar WALE waliokuwa wakiamini soka la Zanzibar limeporomoka kiasi kwamba isingekuwa rahisi kuwavuta mastaa wa kigeni kwenda kucheza visiwani humo, pole yao. Wadau na mashabiki wengi wa soka visiwani...
Nenda Wasso! Simba na Yanga hazitakusahau MWANDISHI WETU AMEUMALIZA mwendo kibabe. Mwamba ameondoka. Ndio, Butu-Ingi Ramazan Waso Bakanga maarufu kama Ramadhan Wasso ameondoka. Hatutamwona tena. Juzi ilikuwa ni siku ya majonzi kwa...
Wakenya wabeba ndoo Coco Beach TIMU za Kenya, Kwale Kings na Kilifian HC juzi zilidhihirisha kuwa bora katika mchezo wa mpira wa mkono wa ufukweni baada ya kutawala mashindano ya TAHA Open Handball Championship yaliyohusisha...
Arsenal ngoma ngumu LONDON,ENGLAND: Arsenal kijasho kinawatoka baada ya kutambua ratiba yao ni ngumu sana kabla ya kwenda kuwakabili mahasimu wao Tottenham Hotspur kwenye North London Derby. Arsenal bado...