Cheki Luka Modric alivyobeba tuzo yake

Thursday September 27 2018

 

KIUNGO, Luka Modric amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Fifa wa Dunia kwa mwaka 2018, akiwabwaga Cristiano Ronaldo na Mohamed Salah kwenye kinyang’anyiro hicho.

Ushindi wa Modric unamaliza zama za utawala wa masupastaa wawili, Ronaldo na Lionel Messi, ambao walikuwa wakigawana tuzo hiyo kwa miaka 10 mfululizo, kila mmoja akishinda mara tano.

Wakati Modric, ambaye pia alichaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa fainali za Kombe la Dunia 2018 na Mchezaji Bora wa UIaya kwa mwaka huu akishangilia ushindi wake huo wa kuwa bora duniani alipokabidhiwa tuzo yake katika sherehe zilizofanyika Jumatatu, hivi ndivyo baadhi ya kura zilivyopigwa zikiwahusisha manahodha na makocha wa timu za taifa.

Lionel Messi- nahodha Argentina

1. Luka Modric

2. Kylian Mbappe

3. Cristiano Ronaldo

Luka Modric- nahodha Croatia

1. Raphael Varane

2. Cristiano Ronaldo

3. Antoine Griezmann

Cristiano Ronaldo- nahodha Ureno

1. Raphael Varane

2. Luka Modric

3. Antoine Griezmann

Harry Kane- nahodha England

1. Cristiano Ronaldo

2. Lionel Messi

3. Kevin De Bruyne

Didier Deschamps-kocha Ufaransa

1. Antoine Griezmann

2. Raphael Varane

3. Kylian Mbappe

Gareth Southgate- kocha England

1. Luka Modric

2. Raphael Varane

3. Eden Hazard

Sergio Ramos- nahodha Hispania

1. Luka Modric

2. Cristiano Ronaldo

3. Lionel Messi

Eden Hazard- nahodha Ubelgiji

1. Luka Modric

2. Raphael Varane

3. Kylian Mbappe

Zlatko Dalic- kocha Croatia

1. Luka Modric

2. Lionel Messi

3. Cristiano Ronaldo

Roberto Martinez- kocha Ubelgiji

1. Luka Modric

2. Raphael Varane

3. Lionel Messi

Tite- kocha Brazil

1. Luka Modric

2. Mohamed Salah

3. Cristiano Ronaldo

Luis Enrique- kocha Hispania

1. Lionel Messi

2. Luka Modric

3. Mohamed Salah

Miranda- nahodha Brazil

1. Cristiano Ronaldo

2. Kylian Mbappe

3. Lionel Messi

Hugo Lloris - nahodha Ufaransa

1. Raphael Varane

2. Antoine Griezmann

3. Kylian Mbappe

Manuel Neuer- nahodha Ujerumani

1. Eden Hazard

2. Luka Modric

3. Raphael Varane

Virgil Van Dijk- nahodha Uholanzi

1. Mohamed Salah

2. Kevin De Bruyne

3. Kylian Mbappe

Robert Lewandowski- nahodha Poland

1. Luka Modric

2. Raphael Varane

3. Kylian Mbappe

Diego Godin- nahodha Uruguay

1. Antoine Griezmann

2. Mohamed Salah

3. Luka Modric

Joachim Low- kocha Ujerumani

1. Luka Modric

2. Kylian Mbappe

3. Eden Hazard

Oscar Tabarez- kocha Uruguay

1. Antoine Griezmann

2. Eden Hazard

3. Lionel Messi

Andres Guardado- nahodha Mexico

1. Luka Modric

2. Lionel Messi

3. Antoine Griezmann

Fernando Santos- kocha Ureno

1. Cristiano Ronaldo

2. Luka Modric

3. Eden Hazard

Roberto Mancini- kocha Italia

1. Cristiano Ronaldo

2. Kylian Mbappe

3. Luka Modric

Giorgio Chiellini- nahodha Italia

1. Cristiano Ronaldo

2. Luka Modric

3. Mohamed Salah.

Advertisement