Diamond Platnum amwaga mkwanja, atoa mafunzo kujikinga na corona

Muktasari:

Diamond Platinam alisema wapenzi wote wa mchezo wa kubahatisha wanatakiwa kucheza kupitia Parimachi kwani wanatoa pesa haraka kwa mshindi, lakini wakati huo huo kuna darasa ambalo watapewa kutoka kwa uongozi juu ya kujikinga na corona huku wakipewa njia sahihi ya kucheza.

Dar es Salaam.Mwanamuziki Diamond Platnum ameendelea kumwaga mkwanja kupitia kampuni ya michezo ya kubahatisha nchini Parimatch huku akitoa njia sahihi za unajikinga na ugonjwa wa corona.

Diamond Platinam alisema wapenzi wote wa mchezo wa kubahatisha wanatakiwa kucheza kupitia Parimachi kwani wanatoa pesa haraka kwa mshindi, lakini wakati huo huo kuna darasa ambalo watapewa kutoka kwa uongozi juu ya kujikinga na corona huku wakipewa njia sahihi ya kucheza.

"Wapenzi wote wa michezo hii ya kubahatisha Parimach tunaendelea kumwaga pesa kwao kwani mbali ya ligi kusimamishwa, lakini kuna michezo mingine ambayo wanaweza kushinda na wakajipatia mkwanja, lakini muda huo huo tunawapa pia darasa la kujikinga na Corona kwani afya zao ni bora na unazijali," alisema Diamond Platinam.

Meneja Masoko wa Parimatch, John Mwakalonge alisema wamejipanga vizuri katika kutoa huduma bora na za kisasa kwa kupitia tovuti yao https://parimatch.co.tz/ kwa lengo la kuendelea kuwapa fursa ya kubashiri wateja wao pindi ligi mbalimbali lakini kutoa pia darasa juu ya kukaa mbali na Corona.

“Parimatch tuna wigo mpana wa michezo inayowawezesha wateja wetu kushinda na kupata pesa kama ambavyo Diamond Platinum ambayo ameeleza kutokana na ubashiri, tunafahamu ligi nyingi zimeahirishwa kwa sasa ulimwenguni kote lakini kwa upande wetu tuna (Virtual games) ambayo inajumuisha michezo yote ambayo watu walikuwa wakicheza,” alisema.

"Mbali ya changamoto hii ya ugonjwa wa corona, Balozi wetu Diamond Platinum amekuwa akimwaga mkwanja kupitia Parimatch kwani tumeamua kutoa fursa kwa Watanzania kwa kutengeneza pesa kiurahisi katika muda wao wa ziada huku wengine wakiwa mapumziko ndani na familia zao," alisema Mwakalonge.