Ditto, Gabo washinda tuzo za ZIFF 2018

Sunday July 15 2018

 

By Rhobi Chacha

 Zanzibar. Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Lameck Ditto ameshinda tuzo ya video bora ya muziki kwenye tuzo za ZIFF 2018 zilizotolewa usiku wa kuamkia jana visiwani Zanzibar.
Ditto ameshinda tuzo hiyo kupitia video ya wimbo wake "Nabembea".
Ambapo tuzo hiyo mwaka jana ilienda kwa mwananuziki FQ kupitia video ya wimbo wake 'Walk it off '.
Kwa upande wa Gabo ambaye jina lake halisi ni Salim Ahmed, ameshinda tuzo ya muigizaji bora wa kiume kupitia filamu ya "In Segere".
Gabo hii ni mara yake ya pili kuchukua tuzo ya uigizaji bora katika tamasha hili la ZIFF,kwani  mwaka jana alichukua tuzo hiyo kupitia filamu ya 'Safari ya Gwaru'
Tuzo hizo zote zimepokelewa na wawakilishi wao, sababu ya wenyewe kutokuwepo katika utoaji wa tuzo,zilizotolewa katika viwanja vya Ngome Kongwe Zanzibar.
Hii ni orodha nzima ya washindi wa tuzo hizo:
EMERSON FOUNDATION JURY
BEST ZANZIBARI FILM-'SISI NA WAO' BARKE ALI Zanzibar

FILM SCHOOL JURY SILVER DHOW MISFIT-Karanja Ng’endo (Kenya)

BEST FILM SCHOOL JURY -'THE PEARL BOXER' Asimwe John Bibagamba (Tanzania)
TV and WEB SERIES JURY

BEST TV SERIES FICTIONJAB-Lucilla Blankenberg, (South Africa)

BEST TV SERIES NON FICTIONGIVING NATURE A VOICE-Andrew Tkach Producer (Kenya)

BEST WEB SERIES NON FICTION- WAKUIGWA Richard Magumba (Tanzania)

BEST WEB SERIES FICTION THE YARD -MOSES OWIRO (Kenya)

BEST EAST AFRICA MUSIC VIDEO- TRACE MZIKI -Lameck Ditto 'NABEMBEA'

SIGNIS JURY

SPECIAL MENTION Liyana by Aaron Kopp (Swaziland)

SIGNIS AWARD Love and Shukla Jatla Siddhartha (India)

SIGNIS - EAST AFRICAN TALENT AWARD -Kyenvu Kemiyondo Coutinho (Uganda)

EUROPEAN AFRICAN FILM FESTIVALS AWARD

BEST FILM FROM EAST AFRICA- SUPA MODO Likarion Wainaina (Kenya/Germany)

ADIAHA AWARD -NEW MOON Philippa Ndisi-Herrmann (Kenya)

BIKIDUDE Chairman Award- Rahmatou Keita( Niger)

LIFE TIME ACHIEVEMENT AWARD MARK LAVERI

SWAHILI FILM AWARDS

BEST SHORT FILM -'PENDO'Faith Musembi (Kenya)

BEST SOUND -'SAFARI' Freddy Feruzi (Tanzania)

BEST CINEMATOGRAPHY- 'FATUMA' John Riber (Tanzania)

BEST EDITING-'BAHASHA' John Riber (Tanzania)

BEST SCREEN PLAY -'PENDO' Faith Musembi (Kenya)

BEST ACTRESS -Catherine Credo, 'FATUMA'(Tanzania)

BEST ACTOR- AHMED SALIM 'GABO' SEGERE  (Tanzania)

BEST DIRECTOR -JORDAN RIBER ,'FATUMA' (Tanzania)

BEST FEATURE FILM -'FATUMA' Jordan Riber (Tanzania)

ZIFF SHORT FILM and SEMBENE OUSMANE JURY

BEST SHORT FILM -Aya Moufida Fedhila(Tunizia)

BEST SHORT FILM DHOW CULTURES- Kuncup Myrdal Muda(Indonesia)

BEST SHORT FILM  AFRICAN ANIMATION -Got flowers Today Jibril Mailafia (Nigeria)

SEMBENE OUSMANE AWARD

Leah -Esther Mndeme (Tanzania)

Mma Moeketsi Rea Moeti (South Africa)

ZIFF DOCUMENTARY JURY

Special Jury Award A MEMORY IN THREE ACTSINALDESO COSSA Mozambique

BEST DOCUMENTARY -'SILAS' Anjali Nayar, Hawa Essuman (Canada | South Africa | Kenya)

ZIFF LONG FEATURE JURY

BEST FILM INTERNATIONAL -'SILAS' Anjali Nayar, Hawa Essuman(Canada | South Africa | Kenya)

BEST FILM FROM DHOW COUNTR IESMAJAN- Rahman Seifi Azada (Iran)

BEST EAST AFRICAN FILM The Forbidden Kizito Samuel Saviour (Uganda)

BEST FILM GOLDEN DHOW- 'SUPA MODO' Likarion Wainaina (Kenya/Germany)

Hata hivyo wa Mkurugenzi wa Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF) Fabrizio Colombo ,amesema tamasha la ZIFF 2019 litafanyika 6 hadi 14 Julai 2019,huku kauli mbiu itakuwa 'Kumekucha

Advertisement