Mashairi ya wimbo wa Aslay ‘wife’

Wife wee, wife material

Kipenda roho Chekecha, weka kwa chujio Maneno yao

Waambie umeshikwa umedata na mimi ooh

Mtoto show Uwavunje mifupa tuwakate vilimi ooh

Waumie roho

 

Nitakonda ahaa

Ukiniacha mbele za watu ahaa

Shoka ahaa

Usifiche mapenzi chini ya kiatu ahaa

Usipunguze ongeza

Paka vuna teleza

We pekee unnaniweza

Niongeze mchuzi wa pweza, ninywee

 

Baby ooh baby, baby ooh baby

Ubavu wangu wa pembeni

Chokochoko, laka laka chokochoko

Kidume mashine,

Chokochoko, laka laka chokochoko

Matam tam tam

Chokochoko, na sihongi mpaka boko

 

Maruani au masumbi hunny

Yakikupandaga kichwani

Vurugu tupu kitandani

Ooh gaga

Mtoto show, rangi ya jogoo

Mi ndo shiza kichura kwenye mechi

Tukikutana lazima nishinde goal

Mmmh nakupenda ukipitisha ulimi kwenye masikio

Ukinipapasa kifuani nakupa vyeo

Napo chumba tukicheza kwa pwaru we ni kilio

Ukinipa macho vinatokaga vinyweleo, mwilini

Nitakonda ahaa

Ukiniacha mbele za watu ahaa

Shoka ahaa

Usifiche mapenzi chini ya kiatu ahaa

 

Usipunguze ongeza

Paka vuna teleza

We pekee unnaniweza

Niongeze mchuzi wa pweza, ninywee

 

Baby ooh baby, baby ooh baby

Ubavu wangu wa pembeni

Chokochoko, laka laka chokochoko

Kidume mashine,

Chokochoko, laka laka chokochoko

Matam tam tam

Chokochoko, na sihongi mpaka boko

 

Only you, baby only you

Utafanya nikuroge nishike kipalizi

Only you, baby only you

Utafanya nikuroge nishike kipalizi

 

NB: Umeombwa na Ayoub, Kihonda umfikie mchumba'ake Irene.

Je, unataka utwangiwe mistari ya songi lolote? Usisitie tuma ombi katika 0773-732271 au email; [email protected]. Pia usikose kijarida cha JIACHIE ndani ya Mwanaspoti kila Ijumaa!