Gamondi amuulizia kiungo Simba SIMBA msimu huu imekuwa na kiwango ambacho hakiwafurahishi mashabiki wake lakini kuna wachezaji ambao wamekuwa vipenzi vya mashabiki na wanaamini kama wataendelea kuwepo, miamba hiyo ya Ligi Kuu...
Makocha hawa watajwa kumrithi Benchikha Simba BAADA ya kuondoka kwa Abdelhak Benchikha, timu ya Simba fasta imeanza mchakato wa kutafuta kocha mpya atakayerithi mikoba ya Mualgeria huyo ikipanga kukamilisha ishu hiyo kabla ya msimu huu...
Yanga yapokea ofa mbili za Mzize Ulaya UONGOZI wa Klabu ya Yanga umethibitisha kupokea ofa kutoka katika timu za Ulaya ambazo zinataka kumnunua mshambuliaji Clement Mzize. Ingawa hakuwa tayari kuzitaja timu ambazo zinamtaka mchezaji...
Mashujaa kumwaga noti kwa mastaa kuiua Yanga WAKATI Mashujaa FC ikibakiza mechi sita kujua hatima yake Ligi Kuu Bara, uongozi wa timu hiyo umesema utaongeza dau kwa wachezaji ili kuhakikisha kuanzia mechi ijayo dhidi ya Yanga hawaachi kitu...
AKILI ZA KIJIWENI: Pamba mmerudi, ligi si kama mlivyoiacha Wanetu wa Pamba FC aka Wana Kawekamo au ukipenda unaweza kuwaita TP Lindanda baada ya msoto wa muda mrefu hatimaye wamefanikiwa kupanda Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kushika nafasi ya pili...
Kimbunga Hidaya chapungua nguvu, tahadhari yatolewa Dodoma. Serikali imesema kuwa kimbunga Hidaya kilichoipiga Pwani ya Mashariki wa Bahari ya Hindi kinaendelea kupungua nguvu kadri kinavyoelekea nchi kavu baada mwenendo wa mifumo ya hali ya hewa...
Samasoti baharini inayolipa vijana mkwanja wa maana MAKACHU ni mchezo unaochezwa sana maeneo ya Forodhani, Zanzibar katika Bahari ya Hindi, kwa wachezaji kujirusha umbali mrefu kutoka nchi kavu hadi majini. Lakini, nyuma ya mchezo huo kuna...
Simba, KVZ zaanza kufukuzia mil 50 WAKATI KVZ ikiialika Simba katika mchezo wa kwanza wa Ligi ya Muungano leo kuanzia saa 2:15 usiku katika Uwanja wa Amaan, timu zinazoshiriki zimetangaziwa zawadi ya Sh50 milioni kwa itakayobeba...
Raska Zone hesabu kali wakiitisha KVZ Nahodha wa kikosi hicho, Ramadhan Yussuf Isaa alisema licha ya kuwepo kwenye mapumziko ya mwezi mmoja lakini wamerudi wakiwa na nguvu na ari mpya na wapo tayari kuipambania timu hiyo.
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers
Mambo matano yaliyoirejesha Pamba Ligi Kuu Wikiendi iliyopita Pamba Jiji ilivunja mwiko wa miaka 23 kutopanda daraja kwenda Ligi Kuu tangu iliposhuka mwaka 2000, ilipoifunga Mbuni FC ya Arusha mabao 3-1 na kutimiza ndoto iliyosubiriwa kwa...
Dabi ya Mashemeji... K'Ogalo yaizamisha tena Ingwe BAO pekee la dakika 30 lililowekwa kimiani na Austine Odhiambo limeiwezesha Gor Mahia kuizamisha tena AFC Leopards katika pambano la Dabi ya Mashemeji lililopigwa jioni ya leo Jumapili, jijini...
Bunduki sita za kuifaa Arsenal LONDON, ENGLAND ARSENAL huenda ikaingia sokoni kusaka straika mpya kabla ya kuanza kwa msimu wa 2024/25 wa Ligi Kuu England baada ya Gabriel Jesus kiwango chake kushuka na haijulikani kama...