Hat-trick 32 za Waafrika Ligi Kuu England hizi hapa

Muktasari:

  • Usiku wa juzi Jumamosi, Mohamed Salah aliingia kwenye rekodi baada ya kufunga mabao manne dhidi ya Watford na hivyo kuwa kwenye orodha ya Waafrika waliowahi kufunga mabao matatu katika mechi za Ligi Kuu England. Hii ndiyo orodha ya hat-trick zote zilizopigwa na wanasoka wa Kiafrika katika Ligi Kuu England.

AFRIKA imeshuhudia mastaa wake kibao wakikipiga kwenye Ligi Kuu England kwa kipindi chote hicho tangu ligi hiyo ilipoanzishwa. Katika katika orodha hiyo ndefu, kuna mastaa wachache waliofanikiwa kuweka alama zao kwenye ligi hiyo kwa kufunga hat-trick na kuingia kwenye rekodi.

Usiku wa juzi Jumamosi, Mohamed Salah aliingia kwenye rekodi baada ya kufunga mabao manne dhidi ya Watford na hivyo kuwa kwenye orodha ya Waafrika waliowahi kufunga mabao matatu katika mechi za Ligi Kuu England. Hii ndiyo orodha ya hat-trick zote zilizopigwa na wanasoka wa Kiafrika katika Ligi Kuu England.

1.Mohamed Salah (Misri na Liverpool) - Liverpool 5-0 Watford, Machi 17, 2018

2.Sadio Mane (Senegal na Southampton) - Southampton 4-2 Man City, Mei 1, 2016

3.Arouna Kone (Ivory Coast na Everton) - Everton 6-2 Sunderland, Novemba 1, 2015

4.Sadio Mane (Senegal na Southampton) - Southampton 6-1 Aston Villa, Mei 16, 2015

5.Riyad Mahrez (Algeria na Leicester City) - Swansea City 0-3 Leicester City, Desemba 5, 2015

6.Yannick Bolasie (DR Congo na Crystal Palace) - Sunderland 1-4 Crystal Palace, Aprili 11, 2015

7.Yaya Toure (Ivory Coast na Man City) - Man City 5-0 Fulham, Machi 22, 2014

8.Samuel Eto’o (Cameroon na Chelsea) - Chelsea 3-1 Man United, Januari 19, 2014

9.Peter Odemwingie (Nigeria na West Brom) - Wolves 1-5 West Brom, Februari 12, 2012

10.Yakubu Aiyegbeni (Nigeria na Blackburn) - Blackburn 4-2 Swansea City, Desemba 3, 2011

11.Demba Ba (Senegal na Newcastle) - Stoke City 1-3 Newcastle, Oktoba 31, 2011

12.Demba Ba (Senegal na Newcastle) - Newcastle 3-1 Blackburn, Demba 23, 2011

13.Somen Tchoyi (Cameroon na West Brom) - Newcastle 3-3 West Brom, Mei 22, 2011

14.Didier Drogba (Ivory Coast na Chelsea) - Chelsea 6-0 West Brom, Agosti 14, 2010

15.Didier Drogba (Ivory Coast na Chelsea) - Chelsea 8-0 Wigan, Mei 9, 2010

16.Salomon Kalou (Ivory Coast na Chelsea) - Chelsea 7-0 Stoke City, Aprili 25, 2010

17.Aruna Dindane (Ivory Coast na Portsmouth) - Portsmouth 4-0 Wigan, Oktoba 31, 2009

18.Emmanuel Adebayor (Togo na Arsenal) - Blackburn 0-4 Arsenal, Septemba 13, 2008

19.Emmanuel Adebayor (Togo na Arsenal) - Derby County 2-6 Arsenal, Aprili 28, 2008

20.Benjani Mwaruwari (Zimbabwe na Portsmouth) - Portsmouth 3-1 Derby County, Januari 19, 2008

21.Yakubu Aiyegbeni (Nigeria na Everton) - Everton 3-0 Fulham, Desemba 8, 2007

22.Benjani Mwaruwari (Zimbabwe na Portsmouth) - Portsmouth 7-4 Reading, Septemba 29, 2007

23.Emmanuel Adebayor (Togo na Arsenal) - Arsenal 5-0 Derby County, Septemba 22, 2007

24.Didier Drogba (Ivory Coast na Chelsea) - Chelsea 4-0 Watford, Novemba 11, 2006

25.Henri Camara (Senegal na Wigan) - Wigan 3-0 Charlton, Desemba 16, 2005

26.Yakubu Aiyegbeni (Nigeria na Portsmouth) - Portsmouth 4-3 Fulham, Agosti 30, 2004

27.Yakubu Aiyegbeni (Nigeria na Portsmouth) - Portsmouth 5-1 Middlesbrough, Mei 15, 2004

28.Nwankwo Kanu (Nigeria na Arsenal) - Chelsea 2-3 Arsenal, Oktoba 23, 1999

29.Tony Yeboah (Ghana na Leeds United) - Wimbledon 2-4 Leeds, Septemba 23, 1995

30.Tony Yeboah (Ghana na Leeds United) - Leeds 4-0 Ipswich Town, Aprili 5, 1995

31.Peter Ndlovu (Zimbabwe na Coventry City) - Liverpool 2-3 Coventry City, Machi 14, 1995

32.Efan Ekoku (Nigeria na Norwich City ) - Everton 1-5 Norwich City, Septemba 25, 1993.