#WC2018: Piga ua bingwa wa Russia yupo hapa

Muktasari:

Hata hivyo, unawajua mastaa waliotajwa kwenye vikosi hivyo vinane vinavyopewa nafasi vina nguvu ya kubeba ubingwa huo mkubwa kabisa katika ngazi ya soka duniani?

URUGUAY yenye Luis Suarez, Misri ya Mohamed Salah na Colombia ya James Rodgriguez pamoja na Senegal ya Sadio Mane, zinatajwa kuwa miongoni mwa timu zitakazotikisa vigogo kwenye fainali za Kombe la Dunia zitakazoanza wiki tatu zijazo kule Russia.

Fainali hizo zitahusisha timu 32, lakini wachambuzi wa masuala ya soka wamezitaja timu nane kati ya hizo, piga ua lazima bingwa wa michuano hiyo atatokea humo.

Hata hivyo, unawajua mastaa waliotajwa kwenye vikosi hivyo vinane vinavyopewa nafasi vina nguvu ya kubeba ubingwa huo mkubwa kabisa katika ngazi ya soka duniani?

Cheki hapa Mwanaspoti linakuleta vikosi hivyo, huku mabingwa watetezi Ujerumani wakiwa wametaja tu kikosi chao cha awali cha mastaa kibao akiwamo kipa Manuel Neuer, ambaye alikuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu akiwa majeruhi.

UJERUMANI

Makipa; Bernd Leno (Leverkusen), Marc-Andre ter Stegen (Barcelona), Kevin Trapp (PSG) na Manuel Neuer (Bayern Munich).

Mabeki; Mats Hummels (Bayern Munich), Joshua Kimmich (Bayern Munich), Antonio Rudiger (Chelsea), Niklas Sule (Bayern Munich), Matthias Ginter (Borussia Monchengladbach), Jerome Boateng (Bayern Munich), Marvin Plattenhardt (Hertha Berlin), Jonas Hector (Koln) na Jonathan Tah (Leverkusen)

Viungo; Julian Brandt (Leverkusen), Sami Khedira (Juventus), Toni Kroos (Real Madrid), Sebastian Rudy (Bayern Munich), Ilkay Gundogan (Man City), Leon Goretzka (Schalke) na Mesut Ozil (Arsenal).

Washambuliaji; Julian Draxler (PSG), Timo Werner (RB Leipzig), Mario Gomez (Stuttgart), Leroy Sane (Man City), Thomas Muller (Bayern Munich), Marco Reus (B.Dortmund) na Nils Petersen (Freiburg).

ARGENTINA

Makipa; Willy Caballero (Chelsea) na Franco Armani (River Plate).

Mabeki; Gabriel Mercado (Sevilla), Federico Fazio (Roma), Nicolas Otamendi (Man City), Marcos Rojo (Man United), Nicolas Taglafico (Ajax), Javier Mascherano (Hebei Fortune), Marcos Acuna (Sporting Lisbon) na Cristian Ansaldi (Torino).

Viungo; Ever Banega (Sevilla), Lucas Biglia (AC Milan), Angel Di Maria (PSG), Giovani Lo Celso (PSG), Manuel Lanzini (West Ham), Cristian Pavon (Boca Juniors), Maximiliano Meza (Independiente) na Eduardo Salvio (Benfica).

Washambuliaji; Lionel Messi (Barcelona), Gonzalo Higuain (Juventus), Paulo Dybala (Juventus) na Sergio Aguero (Man City).

BRAZIL

Makipa; Alisson (Roma), Ederson (Man City) na Cassio (Corinthians).

Mabeki; Danilo (Man City), Fagner (Corinthians), Marcelo (Real Madrid), Filipe Luis (Atletico), Thiago Silva (PSG), Marquinhos (PSG), Miranda (Inter Milan) na Pedro Geromel (Gremio).

Viungo; Casemiro (Real Madrid), Fernandinho (Man City), Paulinho (Barcelona), Fred (Shakhtar Donetsk), Renato Augusto (Beijing Guoan), Philippe Coutinho (Barcelona), Willian (Chelsea) na Douglas Costa (Juventus).

Washambuliaji; Neymar (PSG), Taison (Shakhtar Donetsk), Gabriel Jesus (Man City) na Roberto Firmino (Liverpool).

HISPANIA

Makipa; Kepa Arrizabalaga (Athletic Bilbao), David De Gea (Man United) na Pepe Reina (Napoli).

Mabeki; Cesar Azpilicueta (Chelsea), Dani Carvajal (Real Madrid), Jordi Alba (Barcelona), Nacho (Real Madrid), Nacho Monreal (Arsenal), Alvaro Odriozola (Real Sociedad), Gerard Pique (Barcelona) na Sergio Ramos (Real Madrid).

Viungo; Isco (Real Madrid), Thiago Alcantara (Bayern Munich), Sergio Busquets (Barcelona), David Silva (Manchester City), Andres Iniesta (Barcelona), Saul Niguez (Atletico Madrid) na Koke (Atletico).

Washambuliaji; Marco Asensio (Real Madrid), Iago Aspas (Celta Vigo), Diego Costa (Atletico), Rodrigo (Valencia) na Lucas Vazquez (Real Madrid).

UFARANSA

Makipa; Alphone Areola (PSG), Hugo Lloris (Tottenham) na Steve Mandanda (Marseille).

Mabeki; Lucas Hernandez (Atletico), Presnel Kimpembe (PSG), Benjamin Pavard (Stuttgart), Benjamin Mendy (Man City), Djibril Sidibe (Monaco), Adil Rami (Marseille), Samuel Umtiti (Barcelona) na Raphael Varane (Real Madrid).

Viungo; Blaise Matuidi (Juventus), N’Golo Kante (Chelsea), Steven N’Zonzi (Sevilla), Paul Pogba (Man United) na Corentin Tolisso (Bayern Munich).

Washambuliaji; Olivier Giroud (Chelsea), Antoine Griezmann (Atletico), Kylian Mbappe (PSG), Thomas Lemar (Monaco), Nabil Fekir (Lyon), Florian Thauvin (Marseille) na Ousmane Dembele (Barcelona).

UBELGIJI

Makipa; Koen Casteels (Wolfsburg), Thibaut Courtois (Chelsea), Simon Mignolet (Liverpool) na Matz Sels (Newcastle).

Mabeki; Toby Alderweireld (Tottenham), Dedryck Boyata (Celtic), Laurent Ciman (Los Angeles FC), Christian Kabasele (Watford), Vincent Kompany (Man City), Jordan Lukaku (Lazio), Thomas Meunier (PSG), Thomas Vermaelen (Barcelona) na Jan Vertonghen (Tottenham).

Viungo; Yannick Carrasco (Dalian Yifang), Kevin de Bruyne (Man City), Mousa Dembele (Tottenham), Leander Dendoncker (Anderlecht), Marouane Fellaini (Man United), Eden Hazard (Chelsea), Thorgan Hazard (Borussia Monchengladbach), Adnan Januzaj (Real Sociedad), Dries Mertens (Napoli), Youri Tielemans (Monaco) na Alex witsel (Tianjin Quanjian).

Washambuliaji; Michy Batshuayi (Chelsea), Christian Benteke (Crystal Palace), Nacer Chadli (West Brom) na Romelu Lukaku (Man United).

URENO

Makipa; Anthony Lopes (Lyon), Beto (Goztepe) na Rui Patricio (Sporting).

Mabeki; Bruno Alves (Rangers), Cedric Soares (Southampton), Jose Fonte (Dalian Yifang), Mario Rui (Napoli), Pepe (Besiktas), Raphael Guerreiro (B.Dortmund), Ricardo Pereira (Porto) na Ruben Dias (Benfica).

Viungo; Adrien Silva (Leicester), Bruno Fernandes (Sporting), Joao Mario (West Ham), Joao Moutinho (AS Monaco), Manuel Fernandes (Lokomotiv Moscow) na William Carvalho (Sporting).

Washambuliaji; Andre Silva (Milan), Bernardo Silva (Man City), Cristiano Ronaldo (Real Madrid), Gelson Martins (Sporting), Goncalo Guedes (Valencia) na Ricardo Quaresma (Besiktas).

ENGLAND

Makipa; Jordan Pickford (Everton), Jack Butland (Stoke) na Nick Pope (Burnley).

Mabeki; Trent Alexander-Arnold (Liverpool), Kyle Walker, Kieran Trippier (Tottenham), Danny Rose (Tottenham), Harry Maguire (Leicester), Phil Jones (Man United), John Stones (Man City) na Gary Cahill (Chelsea).

Viungo; Jordan Henderson (Tottenham), Eric Dier (Tottenham), Dele Alli (Tottenham), Jesse Lingard (Man United), Ashley Young (Man United), Fabian Delph (Man City) na Ruben Loftus-Cheek (Chelsea).

Washambuliaji; Raheem Sterling (Man City), Jamie Vardy (Leicester), Harry Kane (Tottenham), Marcus Rashford (Man United) na Danny Welbeck (Arsenal).

Pakua HAPA jarida letu la #KombelaDunia2018 la WIKI HII linaloletwa kwako na magazeti uyapendayo ya MWANANCHI na MWANASPOTI.