Mastaa waliorejea Bara na kuchemka KIWANGO walichokionyesha baadhi ya mastaa wa Ligi Kuu Bara, kiliwapa dili za kucheza nje ya nchi, lakini baada ya kurejea tena Bongo, hawajaweza kucheza kwa mafanikio kama mwanzo. Clatous Chama...