Mashabiki wafoka mechi ya kirafiki Man United vs Man City kuonyeshwa MUTV

Muktasari:

Miamba hao wa London kwa mara ya kwanza watakutana nje ya Uingereza katika mechi yao ya maandalizi ya msimu huu.

Mashabiki wa Etihad wamekasirishwa kuhusu taarifa kwamba mechi ya kirafiki baina ya Manchester United  na City itaonyeshwa kupitia runinga ya mtandaoni ya Mashetani Wekundu.

Miamba hao wa London kwa mara ya kwanza watakutana nje ya Uingereza katika mechi yao ya maandalizi ya msimu huu.

Manchester City itatua Marekani kwa mara ya kwanza kwenye maandalizi ya mechi za msimu na watakutana na Man United ambayo mchezo huo utakuwa wa tatu kwao.

Jambo wanalohoji mashabikiwa Man City kwa nini mechi hiyo ya kirafiki isionyeshwe kweny City Tv.