| Bukky aiba wake za watu |
|
BUKKY, ambaye amejizolea umaarufu kutokana na kuigiza pia ufanisi katika uandaaji filamu (prodyuza) ameingia katika kashfa nzito baada ya kubainika kuwa anapenda mapenzi ya jinsia moja. |
| Emeka Ike bafuni na Muma Gee |
|
MWANAMUZIKI Muma Gee wa Nigeria ameibuka na 'kuruka kimanga' kwamba hana uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa Nollywood, Emeke Ike na kwamba hafikirii kama kuna siku atamtamani mwanaume huyo. |
| Mosunmola Filani apigwa mkwara |
|
MOSUNMOLA Filani ni mmoja wa wadau wakubwa wa filamu nchini Nigeria kutokana na juhudi zake katika uandaaji na uigizaji wa filamu, lakini tatizo la dada huyo ni moja tu, wizi wa wanaume za watu. |
| Lampard, Christine katika wakati mgumu |
|
HUKU kikosi cha England kikijiandaa kutua Afrika Kusini kwa ajili ya fainali za Kombe la Dunia, Frank Lampard anaonekana kuwa na wakati mgumu kukubaliana na ukweli kuwa atalazimika kuwa mbali na mpenzi wake Christine Bleakley kwa wiki kadhaa. |
| Rooney ampiku Ronaldo nje ya uwanja |
|
WAYNE Rooney ametoa onyo kwa Cristiano Ronaldo kuwa 'atamfunika' katika Fainali za Kombe la Dunia mwezi ujao kwa kuwa dalili zimeonekana mapema. |
| Mtoto wa Beckham aanza mitindo |
|
MTOTO wa nyoka ni nyoka. Brooklyn Beckham ambaye ni mtoto wa mwanamitindo Victoria Beckham na mwanasoka David Beckham sasa ameanza kutamani mitindo. |
| Venus atikisa kwa mavazi |
|
MAVAZI ya Venus Williams katika michuano ya wazi ya Ufaransa ndio yamekuwa yakivutia watazamaji zaidi kuliko uchezaji wake. |
| Chelsea |
|
BAADA ya mafanikio ya timu hiyo kutwaa ubingwa wa England na Kombe la FA, nyota mbalimbali wa Chelsea wanajipanga kujiunga na timu zao za taifa kwa ajili ya fainali ya Kombe la Dunia. |
| Manchester United |
|
KUNA maandalizi kamambe ya msimu ujao na Manchester United imejipanga kucheza mechi za kirafiki Marekani na Canada, kwa mujibu wa Ofisa Mkuu Mtendaji wa klabu hiyo, David Gill. |
| Arsenal |
|
MSHAMBULIAJI Robin Van Persie ameahidi kufanya mambo makubwa msimu ujao akiendelea kuchezeshwa kama mshambuliaji. |