Wasanii wa hizi nyimbo, mnadaiwa video 'CHUPA nyingine' una ukumbuka? Ni mmoja ya nyimbo za msanii wa Hip Hop, Mchizi Moxi uliokaa takriban miaka 20 ndio ukaja ukafanyiwa video. Sio huo tu, unaukumbuka wimbo wa Mandojo na Domo Kaya...
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers
JKT Tanzania yagomea kucheza Chamazi WAKATI Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo ukishindwa kutumika kwenye mechi ya Ligi Kuu kati ya JKT Tanzania dhidi ya Yanga, kutokana na sehemu ya kuchezea kujaa maji, habari za ndani ni timu ya...