Pacome amuangukia Gamondi, kocha amgomea SAA chache kabla ya Yanga kuanza safari ya kuja uwanjani kiungo wa timu hiyo amewasilisha maombi kwa kocha wake ampe hata dakika 20 za mchezo huo. Taarifa kutoka ndani ya Kambi ya Yanga ni...