Mastaa Bongo waiteka shoo ya dabi MCHEZO wa 112 wa Watani wa Jadi, Yanga na Simba utachezwa kesho Jumamosi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam na umeteka hisia za mashabiki kila kona nchini hadi tasnia ya burudani.
Diarra dhidi ya Lakred WAKATI homa ya pambano la Ligi Kuu Bara kati ya vinara wa ligi, Yanga dhidi ya Simba likizidi kupanda kutakuwa na vita nyingine mpya kwenye eneo la makipa wa timu hizo mbili. Hapana shaka Yanga...