Alonso: Alivyofaulu mtihani uliowashinda wengi ulaya Kwa mara ya kwanza katika historia yao Bayer Leverkusen ilifanikiwa kuchukua taji Bundesliga msimu huu. Kocha aliyesimamia hili ni Xabi Alonso.