Mfahamu Kingwendu nje na uchekeshaji MCHEKESHAJI mkongwe nchini, Rashid Mwinshehe 'Kingwendu' anaamini maisha bila 'plani B' ni vigumu kufanikiwa kwa haraka, vinginevyo mtu afanye kazi inayomuingizia pesa ndefu. Mwanaspoti...
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers
Azam yaifuata Simba fainali Muungano USHINDI wa mabao 5-2 ilioupata Azam FC dhidi ya KMKM, umeifanya timu hiyo kufuzu fainali ya Kombe la Muungano, michuano inayofanyika kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.