Mhilu ajishtukia, aingia chimbo Staa huyo wa zamani wa Simba, Yanga na Kagera Sugar amekuwa na uhakika wa namba chini ya kocha mkuu, Denis Kitambi akicheza mechi 10 na kufunga mabao mawili.