Ten Hag akubali yaishe kwa Sancho MANCHESTER, ENGLAND. HABARI ndo hiyo. Erik ten Hag amefungua milango kwa winga Jadon Sancho kurejea Manchester United. Kocha huyo wa Manchester United alimwondoa Sancho kwenye kikosi cha kwanza...