Arsenal, Chelsea kwa vikosi hivi, itakuwaje! LONDON, ENGLAND. KOCHA wa Chelsea, Mauricio Pochettino amepata pigo jingine ambalo mastaa wake watatu wanaweza kukosekana kwenye mchezo muhimu wa Ligi Kuu England dhidi ya Arsenal huko Emirates...
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers