HISIA ZANGU: Kwanini Bocco hayupo Uwanjani? tumemfukuza, amekubali kirahisi
NILIMUONA Kevin Yondani akiwa na kitambaa cha unahodha wa timu yake Geita Gold. Ilikuwa siku chache zilizopita. Nikakimbilia katika mtandao wa Wikipedia kutazama umri wake. Msela Kevin yupo...