Azam FC, Mashujaa hakuna mbabe Chamazi MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Azam FC na Mashujaa umemalizika kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi Kwa timu hizo kutoka suluhu.