Gadner afariki dunia, wasanii wamlilia MTANGAZAJI maarufu wa kituo cha Clouds FM, Gadner G. Habash amefariki dunia leo saa 11:00 asubuhi katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa...
Usalama waimarishwa Kwa Mkapa LICHA ya uchache wa mashabiki kabla ya mchezo wa watani wa jadi, Yanga dhidi ya Simba unaotarajiwa kupigwa saa 11:00 jioni, usalama umeimarishwa kila kona. Kama Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya...