Simba yaandaa sapraizi Kwa Mkapa "Mechi ya kesho ni kubwa kwa klabu zote mbili na nategemea mambo mazuri na sisi kama Simba tunajua tunacheza na timu kubwa hivyo tumechukua tahadhari zote."