JIWE LA SIKU: Klopp, Mourinho wote sio chaguo la kwanza, wametoboa Je, kuna shida kuja kunolewa na kocha chaguo la tatu kwenye mipango yenu? Ni hivi, hata Klopp mwenyewe hakuwa chaguo la kwanza wakati anapewa kazi Liverpool. Lilikuwa chaguo la pili.
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers