Wasanii wa hizi nyimbo, mnadaiwa video 'CHUPA nyingine' una ukumbuka? Ni mmoja ya nyimbo za msanii wa Hip Hop, Mchizi Moxi uliokaa takriban miaka 20 ndio ukaja ukafanyiwa video. Sio huo tu, unaukumbuka wimbo wa Mandojo na Domo Kaya...
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers
JKT, Yanga hatihati kuchezwa Isamuyo MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya JKT Tanzania na Yanga huenda usifanyike kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuyo kutokana na kujaa maji kutokana na mvua, licha ya juhudi za kuyaondoa kuendelea...