WANYAMA, AY MBUDYA

Kiungo Mkenya anayekipiga Tottenham ya Ligi Kuu England, Victor Wanyama (kushoto) akitanua na nyota wa muziki nchini, AY, kwenye kisiwa cha Mbudya kilichopo Bahari ya Hindi kilomita chache kutoka ilipo Ikulu ya Tanzania.