Kajala akubali yaishe, aomba radhi kwa mzazi mwenziye Majani Mwigizaji Kajala Masanja amemuomba radhi mzazi mwenziye Paul Matthysse maarufu kwa jina la 'P Funk Majani' kutokana na migogoro waliyokuwa wakipitia kwa muda mrefu.
Baba Sure Boy auweka mpira kati Kariakoo Dabi Abubakar Salum 'Sure Boy Sr' ambaye ni baba mzazi wa kiungo wa Yanga, Salum Abubakar 'Sure Boy', amesema Kariakoo Dabi haijawahi kutabirika, haijalishi ni timu gani inakuwa kwenye kiwango kizuri...