Ule utamu WPL umerudi tena ULE utamu wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) iliyokuwa imesimama kwa zaidi ya mwezi mzima kupisha michuano ya kimataifa kwa timu za taifa za wanawake, umerudi tena wakati mechi za ligi hiyo...